Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Pep Guardiola asaini mkataba mpya wa miaka miwili Manchester CityKocha Pep Guardiola amesaini mkataba mpya wa miaka miwili ambao utamfanya abaki kama Meneja wa Manchester City hadi majira ya joto ya mwaka 2023.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 49, ameshinda mataji mawili ya Ligi Kuu, Kombe la FA na matatu za Kombe la Ligi tangu ajiunge mnamo 2016.


Mkataba wa zamani wa meneja huyo wa zamani wa Barcelona na Bayern Munich ulipaswa kumalizika mwishoni mwa msimu huu. HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments