11/16/2020

Pogba atema nyongo, Napatia wakati mgumu Manchester kuliko wakati wowote wa maisha yangu, sina furahaKiungo wa kati wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba anasema kwa sasa anapitia kipindi kigumu sana cha kazi yake ya soka kutokana na muda wake wa mchezo katika Old Trafford. (RTL via Goal)

Akifanyiwa mahojiano na kituo cha RTL. amesema kuwa “Npaitia kwenye wakati mgumu sana kuliko wakati wowote ule katika maisha yangu ya soka, timu ya taifa ndio imekuwa kama pumzi ya mimi kuja kupumlia huku, ni mahala pa safi nafurahia zaidi, its magic”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger