Prince Harry Mwana-Mfalme mwenye mvuto zaidi Duniani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Prince Harry ametangazwa kuwa Mshindi wa Peoples Magazine kwenye kipengele cha Mwana-Mfalme mwenye mvuto zaidi Duniani ambaye bado anaishi akiwashinda wenzake kibao akiwemo Kaka yake Prince William.


Mshiriki ambaye alikuwa anamkaribia na alikuwa Mpinzani wake wa karibu ni Prince Carl Philiph (41) kutoka Nchini Sweden.


Harry anashinda nafasi hii ukiwa umepita mwaka mmoja tu tangu alipotangazwa kuwa ni Baba mwenye mvuto zaidi kati ya Mababa wote wenye Watoto Duniani.


Miongoni mwa mambo yanayoendelea kumpa umaarufu zaidi Prince Harry ni pale alipoamua kuondoka kwenye Jumba la Kifalme Uingereza na kwenda kuishi Marekani na Mkewe Miss Meghan.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad