Profesa Jay Hataki Kuongelea SiasaSIKU chache baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, mwaka huu kutangazwa, wabunge wengi wameonekana kukosa nafasi kwa mara nyingine kwenda kuwakilisha wananchi kwa kushindwa na wapinzani wao.


Wabunge hao waliokosa nafasi ni pamoja na wanamuziki Joseph Haule ‘Profesa Jay’ aliyekuwa akiwakilisha Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro ambapo amepoulizwa kuhusu hatma yake kisiasa na kusema hataki kuongelea mambo hayo ya siasa.


“Kwa sasa siwezi kuongea chochote kile kuhusu siasa, naomba uniache, sijisikii kuongea chochote,” anasema Profesa Jay.


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

1 [disqus]:

 1. Njoo tuanzishe Mentali EnterProduction.
  copyright@

  Na fungua jalada la Madai Faru Joni la Michango na Ruzuku yako kama Ester'z
  La mamia ya Ma Mamilioni. Na kibeko yuko mbioni kufungua pia manaibu wazri

  Faru Join TAPELI, TENA ILE MBAYA.

  ReplyDelete