11/11/2020

Rais Magufuli kuhutubia bunge Ijumaa Rais wa Tanzania, Dkt John Magufuli atahutubia Bunge Ijumaa hii kuanzia saa tatu kamili asubuhi.

Akizungumza bungeni jijini Dodoma mapema leo hii Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema desturi ya Bunge linapoanza mara baada ya kutoka katika uchaguzi kuna hotuba ya rais wa nchi kuhutubia watanzania.


“Ninawataka Ijumaa saa tatu kamili asubuhi kuhudhuria tukio hilo bila kukosa kumsikiliza mheshimiwa rais atakachosema” Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger