Rais Mteule Dkt. Magufuli Kuapishwa Novemba 5, 2020 Dodoma

 


Rais Mteule wa Tanzania, Dkt. John Magufuli Novemba 5, 2020 ataapishwa katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma katika hafla itakayohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa. Wananchi wanaopenda kuhudhuria wanakaribishwa kufika uwanjani kabla saa 1 asubuhi.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE