Rais Mteule wa Marekani Joe Biden Avunjika Mguu Akifanya Hili..


Rais Mteule wa Marekani Joe Biden ameripotiwa kuvunjika mguu wakati akicheza na mbwa wake juzi Jumamosi. Kwa mujibu wa madaktari, Biden atahitajika kuvaa kiatu maalum cha kutembelea (walking boot) kwa wiki kadhaa.


Siasa sio chuki, Jana Jumapili Rais Donald Trump alimuombea Biden apone kwa haraka, kupitia ukurasa wake wa twitter aliandika "Get Well Soon."

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments