11/07/2020

Rais Mwinyi Amwapisha Katibu wa Rais Zanzibar
RAIS  wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi,  amemuapisha Suleiman Ahmeid Saleh, kuwa Katibu wa Rais wa Zanzibar.

Amemuapisha baada ya  kumteua Novemba 4, mwaka huu kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu cha 53 cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.


Kabla ya uteuzi huo katibu huyo alikuwa Mkurugenzi Msaidizi katika Tume ya Pamoja ya Fedha.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger