AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi leo Novemba 3, 2020 amemteua Dk Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Abdulhamid Mzee, imeeleza kuwa kabla ya uteuzi huo Dk Haji, alikuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK