Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Ratiba ya Michezo ya Ligi Kuu LeoLEO Novemba 21, Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kwa michezo minne kupigwa Kwenye viwanja vinne tofauti.

Mambo yapo namna hii:-


Polisi Tanzania v Ihefu, Azam Complex,  saa 8:00 mchana.


JKT Tanzania v Gwambina, Jamhuri Dodoma,  saa 8:00 mchana.


KMC v Azam FC,  saa 10:00 jioni, Uwanja wa Uhuru.


Coastal Union v Simba, Saa 10:00 jioni, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments