AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge alipotembelea ofisi na studio za Msanii Harmonize ambapo amemshauri mambo mbalimbali ikiwemo kujituma, kuongeza ubunifu, ufanisi na ni
dhamu ya kazi.
Ikumbukwe RC Kunenge pia ni mlezi wa lebo ya Kondegang ambayo ipo chini ya Msanii Harmonize.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK