AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
MIEZI mich-ache baada ya kupitia mgogoro na mumewe Ashraf Uchebe, Mwanamuziki na mjasiriamali Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amefunguka kuwa ndoa siyo jela kwa hiyo kama kitu ukishindwa unaondoka tu
Akipiga stori na AMANI, Shilole alisema ndoa nyingi zinapitia migogoro mingi.“Si kwangu tu.
Ndio nyingi sasa ni kama jela ndio maana nawashauri wanawake wenzangu wakishindwa watoke huko kuliko kunusa kifo,’’ alisema Shilol
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK