Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Spika Awaonya Wabunge CHADEMA

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURESPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai,  amesema kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Bunge hilo, wabunge 19 wa viti maalumu kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), endapo hawatohudhuria mikutano mitatu ya Bunge, watakuwa wamejifukuzisha ubunge wenyewe.

“Kwa hawa wa viti maalumu (CHADEMA), mkutano huu unaoendelea ni wa kwanza, wa Januari ni wa pili na wa Aprili ni wa mwisho kama hawatohudhuria watakuwa wamejifukuza wenyewe kwa mujibu wa katiba,” amesema Ndugai

Post a Comment

1 Comments

 1. Ni wakati, muafaka kuileta Mada hii na
  kubadilisha katiba yetu kuendana na Uhalisia na Wakati. Ukizingatia yaliyo
  Jidhihirisha katika Uchaguzi uliopita

  Wanasiasa kkutumika kama Vibaraka na wanaoficha hali yao ya kiafya na Waleta Taharuki katika Jamii na Wahamasishaji wa Uvunjifu wa Amani walio Jaa Uchu wa kuiona Damu ya Mtanzania inamwagika na Mwishoni wana
  Rudi kwa Mabwana zao, baada ya mbinu zao Ovu kutofanikiwa.

  Ukweli kwenda mbele Kura zetu hatutowapa tena. wasio na sera waingiza vilipukaji nchini.

  Sheria kutunga na kurekebisha ni Sisi.

  Pia ningeomba tuangalie urekebishaji wa Ukomo wa Mkuu wa Nchi ikiwa sisi wananchi tunamtaka na tutamuombaa tokea ngazi za Kata mpaka Wilaya/Mkoa
  hadi Taifa. HILI SI JEMBE LA KULIACHIA

  Wenye Macho wameona, na wenye masikio
  pia wamesikia..MAGU WETU.NDIO GUMZO LA DUNIA KWA SASA.

  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)