Staa Atua Harusini na Mademu Zake 6 Wajawazito

 


MSANII na mwanamitindo maarufu nchini Nigeria, Pretty Mike, aliibua gumzo kubwa katika jamii alipohudhuria harusi ya mwigizaji Williams Uchemba, huku akiwa na marafiki zake sita wa kike wakiwa wajawazito.

Katika kawaida yake ya kutaka umaarufu, Pretty Mike aliwatambulisha wanawake hao mmoja baada ya mwingine, jambo ambalo lilisambaa kwa haraka na kuwa kivutio kikubwa katika mtandao wa intaneti, mitandao ya kijamii na magazeti

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments