Sugu: Tulia Aachane na Sugu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Aliyekuwa mbunge waJjimbo la Mbeya Mjini, kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi ‘Sugu‘, amesema yeye hana mamlaka ya kumkabidhi ofisi mbunge wa sasa wa jimbo hilo kupitia CCM, Dkt. Tulia Ackson, kwani ofisi aliyokuwa akiitumia, alikwisharudisha funguo kwa mamlaka husika na kwamba amuache na achape kazi.

 

“Wewe umeshasikia wapi mbunge analia hajakabidhiwa ofisi, hakuna kitu kama hicho, aliyempa cheti cha ubunge ndiye angemwelekeza kwamba kinachofuata ni nini, afanye kazi aachane na Sugu.

 

“Yeye afuate utaratibu pengine hata sasa wamempa ofisi nyingine yeye ni mtu wa kujimwambafai, labda ofisi niliyokuwa naitumia mimi ni ndogo nadhani haitaki anatafuta ‘justification’ wampe ofisi kubwa zaidi kwa kusema Sugu hajanikabidhi ofisi, ofisi ni mali ya jiji,” Sugu.

 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbilinyi, una nini hasa..??
    Tatizo lako nalijua. Lakini ndiyo chaguo letu. Kaa utulie.

    Tulia yuuko pale Katulia, na hata bungeni yuko Katulia haendi Bonanza.

    Njoo Kilombero tulime shamba lipo au na wewe ndio kama yule alie nanihi...

    TULIA MBILINYI, usiwe SUGU.

    ReplyDelete

Top Post Ad