Tabora: Babu Miaka 67 Atuhumiwa Kumpa Mimba Mujukuu Wake
Jeshi la polisi mkoa wa Tabora, linamshikilia mzee mwenye umri wa miaka 67, Saidi Abdulatif Tumaini, mkazi wa Kata ya Ng’ambo katika manispaa ya Tabora kwa tuhuma za kumbaka na kumpa mimba mjukuu wake mwenye umri wa miaka 13.

 

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, ACP Barnabas Mwakalukwa amesema Novemba 13, mwaka huu, mama mzazi wa mtoto huyo aligundua kuwa binti yake anayesoma darasa la sita Shule ya Msingi Kizigo iliyopo Manispaa ya Tabora ni mjamzito na alipobanwa, ndipo alipomtaja babu yake huyo ambaye pia ni mhanga wa kienyeji.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments