Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Tazama Mateso Anayopata mfuasi wa Bobi Wine, Saba Wamefariki (+video)

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Kipande cha video kikimuonyesha mfuasi wa Mgombea Urais wa Uganda Robert Kyagulanyi ‘ Bobi Wine’ akiwa amekamatwa na Polisi nchini humo, baada ya mfuasi huyo na wenzake kupinga kukamatwa kwa ‘Bobi Wine’ mapema jana katika Wilaya ya Luuka.


Bobi Wine alikamatwa Jana na Polisi kwa kosa la kujaza wafuasi zaidi ya 200 katika mkutano wake wa kampeni, kinyume na kanuni za Tume ya Uchaguzi Uganda (EC).Post a Comment

0 Comments