TFF kula sahani moja na watakao mhusisha Rais Karia na sakata la CAFShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa ufafanuzi juu ya kuhusishwa kwa Rais wake Wallace Karia katika malipo yanayodaiwa kusababisha Shirikisho la Mpira wa Miguu (FIFA) kumfungia miaka mitano Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Ahmad Ahmad. 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments