Tigo Waungana na Diamond Platumz Wasafi FM, Sasa Sijui itakuwaje Tigo Fiesta ya Clouds


Leo Tigo na Diamond Platnumz kupitia Wasafi FM wameungana kufanya kazi nafasi ambayo miaka ya nyuma ilikuwa kwa Clouds FM Tigo Akishirikiana nao katika maandalizi ya Matamasha ya Fiesta...

Wasafi katika Mona ya Posts zao wameandika haya hapa chino:

Reposted from @wasafifm Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Nasib Abdul @diamondplatnumz, akizungumza na Waandishi wa Habari katika Hafla ya Uzinduzi Rasmi wa #TumewashaNaTigo Tour 2020 .

Habari Ikufikie Kuwa , #TumewashaNaTigo 2020 itaanzia Rasmi Mkoani KAHAMA ! ⚡️

#TumewashaNaTigo2020 Powered by: @tigo_tanzania & @pepsi_tz
That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments