google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Trump Hali Tete...Kupinga Matokeo ya Uchaguzi Mahakamani Akishindwa | UDAKU SPECIAL

Trump Hali Tete...Kupinga Matokeo ya Uchaguzi Mahakamani Akishindwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Huku kukiwa na kura nyingi tu ambazo bado hazijahesabiwa, Donald Trump amedai kuwa ameshinda.


“Ukweli ni kwamba tumeshinda,” amedai hivyo akizungumza kwa sauti ya upole. Bila ushahidi wowote – Trump amedai kuwa uchaguzi umekubwa na ” udanganyifu”.


“Hii ni aibu kwa nchi yetu,” Trump amesema, na kuongeza kwamba anapanga kwenda mahakama ya juu zaidi kupinga matokeo ya uchaguzi.


Mamilioni ya kura katika uchaguzi wa Marekani mwaka 2020 bado hazijahesabiwa na rais hana haki yoyote ya kujitangaza mshindi.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad