11/13/2020

Tumefanikiwa Kupunguza Umaskini wa Kipato Hadi Kufikia Asilimia 26.4%-JPM"Tumefanikiwa kupunguza umaskini wa kipato hadi kufikia asilimia 26.4% kwa takwimu za mwaka 2017- 2018 mafanikio haya bila shaka ndio yamewezesha nchi yetu kutangazwa kuingia katika kundi la nchi za uchumi wa kati kutoka katika kundi la nchi masikini" Rais Dkt John MAGUFULI.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger