Tundu Lissu Akamatwa na Polisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Aliyekuwa Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amekamatwa na Polisi. Polisi Kanda maalumu ya Dar es Salaam wamethibitisha kumshikilia


Akiongea na JamiiForums, Tundu Lissu amesema amekamatwa akiwa Umoja House Jioni ya leo na sasa anafanyiwa mahojiano katika Kituo Kikuu cha Polisi

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Asylum Seeker... anaendelea na utengene
    zaji wa Mazingira ya kumuwezesha apewe
    chumba kwa muwakilishi wa jelumani
    baada ya Kuincite Riots and violence
    wananchi kumtolea nje.

    hayo yote ni maelekezo toka nje.
    baada ya wawakilishi kadhhaa kumtolea
    nje..!!

    Gea aliokwenda nayo ni Usalama wangu uko hatarini..!!

    ReplyDelete

Top Post Ad