Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Uchaguzi Marekani kufanyika kesho, Trump, Biden njia panda

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURERais wa Marekani, Donald Trump na mshindani wake Joe Biden wanamalizia kampeni zao kwenye majimbo muhimu zinazoonesha jinsi Marekani ilivyogawanyika kwa kiwango kikubwa katika kuyashughulikia matatizo makubwa ya nchi.


Second US presidential debate officially cancelled after Trump chaos – МИА


Wagombea hao wawili wanalenga kuonyesha tofauti wakati Marekani imekaa njia panda na wakati ambapo nchi imekumbwa na janga la Corona.
Mpaka sasa Wamarekani zaidi ya milioni 93 wameshapiga kura za awali na kila upande unasisitiza kuwa umo njiani kuelekea kwenye ushindi.


Hata hivyo mgombea wa chama cha Demokratic Joe Biden anaelekea kuwa na uwezekano zaidi ya kuwapata wajumbe maalumu 270 wa kumpigia kura na kuibuka kidedea.


Wakati Wamarekai wanajitayarisha kupiga kura hapo kesho, watu zaidi ya 230,000 wameshakufa kutokana na ugonjwa wa COVID-19.

Post a Comment

0 Comments