Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Umuhimu wa kitunguu swaumu katika kutibu magonjwa ya kukuKitunguu swaumu pamoja kuwa ni dawa ambazo humsaidia mwanadamu kuweza kutibu magonjwa mbalimbali lakini kinatajwa kuweza kutibu magonjwa mbalimbali ya wanyama wengine ikiwemo kuku. 


Zipo dawa tofauti za asili zinazopatikana kirahisi kwenye mazingira ya vijijini  na mjini ambazo zina uwezo wa kutibu magonjwa ya kuku. Katika mada hii tataelezea jinsi  kitunguu swaumu kinavyoweza ugonjwa wa Homa ya Matumbo "Fowl Typhoid"  katika ufugaji wa kuku. 


Namna ya kuandaa dawa hii. 


Chukua robo kilo ya vitunguu swaumu 


Toa maganda. 


Kisha twanga 


Changanya na maji kiasi cha lita moja 


Chuja na kuwapa maji yake  kuku wako kwa muda wa juma moja. 


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments