Unaambiwa Mapacha Wawili Wakiume Waoa Mapacha Wawili wa Kike Siku Moja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hassan Sulaiman na Hussaini Dey ni mapacha wawili wa kiume wenye miaka 33, wameoa mapacha wenzao wa kike ambao wamefahamika kwa majina ya Hassana na Hussaina huko Kano Kaskazini mwa nchi ya Nigeria.

Mmoja wa mapacha wa kiume Hassan Sulaiman amesema tangu walivyokuwa wadogo walikuwa wanasema kitu bora kwao ni kuoa mapacha wenzao ambapo wametimiza ndoto zao.
-
"Tangu tulipokuwa wadogo, tulikuwa tunafanya kila kitu pamoja, tulikuwa tunavaa nguo zinazofanana, kula chakula cha aina moja na tulisoma katika darasa moja, hata tulipoenda kusomea masuala ya afya namba ya usajili wa mtihani yake ilikuwa 010 wakati yangu ilikuwa 011"
-
Aidha ameongeza kusema, "Kwa muda mrefu tulipanga kuoa mapacha na hata familia yetu walituambia tuoe mapacha, kabla ya sasa, tumekuwa tukijaribu bahati yetu na sasa tuna furaha sana ndoto zetu zimetimia".


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad