Unakumbuka Movie la Coming to America? Basi Kaa Mkao wa Kula Wanakuletea Part 2


Mitandao mikubwa ya Filamu duniani imeitaja rasmi tarehe ya kutoka filamu ya Coming to America (2), ambayo ni tarehe 5/3/2021.

Ikumbukwe kwenye toleo hili jipya #EddieMurphy na Arsenio Hall wataungana na wageni kama; Rick Ross, Davido, Rotimi, Tracy Morgan, Teyana Taylor, Michael Blackson na wengine kibao.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments