Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

VIDEO: Machafuko Uganda, Risasi, Mabomu vyarindima, Wanamtaka Bobi Wine

 


Waandamanaji wameibuka Jijini Kampala nchini Uganda baada ya Polisi kumkamata Mgombea Urais, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine akiwa anaendelea na Kampeni.


Watu kadhaa wamefariki na wengine kujeruhiwa baada ya Polisi kujaribu kuzuia maandamano hayo kwa risasi za moto na mabomu ya machozi.


Waandamanaji waliziba njia na kuchoma matairi mara baada ya kupata taarifa za kukamatwa kwa Bobi Wine, waandamanaji wengine walionekana wakichana picha ya Rais Yoweri Museveni.


VIDEO:


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

1 Comments

  1. Amani ya Uganda, Ni Amani yetu wana EAC.
    Mzee Museveni ni Kipenzi cha Waganda na sisi Wazalendo tunalo Bomba lao nchini kwetu.

    Habari za Uganda mziripoti kwa Umakini na Weledi wa fani ya habari.ukizingatia Undugu/Biashara/Ujirani mwema/Na Historia

    ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)