Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Wafuasi wa Donald Trump Wafadhaishwa na Hotuba ya Trump ya Kujitangazia UshindiDonald Trump amedai kuwa tayari ameshinda katika hotuba aliyoitoa White House hata kabla ya mamilioni ya kura kuhesabiwa.

Wachambuzi wa Republicans na wenye msimamo mkali hata hivyo wameonesha wasiwasi wao kuhusiana na matamshi yake.


Akizungumza na shirika la habari la ABC News, aliyekuwa gavana wa New Jersey Governor na mshauri wa Trump Chris Christie ameitaja hatua ya Trump kama isiyofaa – hata kimkakati na kwake yeye kama rais.


"Ni uamuzi mbaya," alisema. "Ni uamuzi mbaya wa kisiasa."Rick Santorum, aliyekuwa Seneta wa Republican kutoka Pennsylvania, alisema kwamba matamshi ya Trump yamemsababishia "msongo wa mawazo". "Kwa kutumia nenoudanganyifu... kwangu naona ni makosa," amesema hivyo akizungumza na CNN.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments