Wamarekani waamua kati ya Trump na Biden

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wamarekani wanapiga kura hii leo kumchagua rais atakayeongoza taifa hilo kubwa zaidi kiuchumi duniani kwa mda wa miaka minne ijayo. Rais wa sasa Donald Trump anatetea nafasi hiyo kupitia chama cha Republican huku aliyekuwa makam wa rais Joe Biden akigombea kupitia chama cha Democratic. 


Kufikia jana jumatatu, karibu wapiga kura milioni 100 walikuwa tayari wamepiga kura katika uchaguzi huo. Kura zimepigwa kwa njia ya posta na kwa njia ya kawaida ya mpiga kura kufika katika kituo cha kupigia kura. Jaribio la warepublican kutaka kura 127,000 zilizopigwa na wapiga kura waliofanikisha zoezi hilo wakiwa kwenye magari yao katika vituo vya kupigia kuwa, zisihesabiwe, lilikataliwa na mahakama katika jimbo la Texas. 

Imetayarishwa na Kennes Bwire, VOA, Washington DC


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad