11/16/2020

Wanafunzi wote Kenya kurejea shuleni JanuariWaziri wa Elimu nchini Kenya George Magoha ametangaza kuwa wanafunzi wote watarejea shuleni Januari 4.

Kwasasa, ni wanafunzi wa mwaka wa mwisho pekee waliorejea shuleni huku katika baadhi ya taasisi mafunzo kwa wanafunzi wengine yamekuwa yakiendelea kwa njia ya mtandano.


Kalenda ya shule ilivurugika kwasababu ya virusi vya corona.


Mwanzoni mwa janga la virusi vya corona, wizara ya elimu ilifuta mwaka wote wa masomo wa 2020 lakini baadaye ikatangaza kuwa wanafunzi wa mwaka wa mwisho waruhusiwe kuanza tena masomo kwa njia ya ana kwa ana.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger