WASAFITV Imezipiga bao TV zote nchini, TUMEWASHA TIGO TOUR na anguko la TIGO FIESTA

 


Kwa mwendo huu wa WASAFITV kuruhusiwa kuonyeshwa bure kwenye kisembuzi Cha AZAMTV ni ukomavu na ukuaji mkubwa wa tasinia ya taarifa ya habari nchini.


Pia imedhihirisha ni kwa namna gani DIAMOND pamoja na WASAFI ni mahodari na wabobezi kwenye nyanja ya habari sana.


TIGO wameisaliti CLOUDSTV na kukimbilia WASAFITV,hii inamaanisha kuwa WASAFITV ndo inakuja kuleta mapinduzi mapya,yenye misingi ,tija na manufaa kwa wanamziki/wasanii kwa ujumla nchini Tanzania.


Hiki kitendo Cha TIGO kinaonyesha kuwa CLOUDSTV imeisha kufa na imebakiwa kuzikwa,na kwa Sasa habari ya mjini ni WASAFITV.


S/O kwa Diamond platinumz the G.O.A.T pamoja na chuma Cha WCB na WASAFITV kwa ujumla.


THE RISE OF WASAFITV and THE FALL OF CLOUDSTV.

Source: JF

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments