Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Waziri Mkuu wa Uingereza alazimika kwenda tena KarantiniWaziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amelazimika kwenda tena Karantini kufuatia kuwa karibu na Mtu ambaye amethibitika kuwa na corona, Boris aliwahi kuugua corona hadi kulazwa ICU, lakini kwa mipango ya Mungu na kwa msaada wa Madaktari baadaye alifanikiwa kupona.


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments