Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Yemi Alade Amuunga Mkono Vanessa Mdee "Kiwanda Cha Muziki ni Kigumu Sana"


Baada ya Vanessa Mdee, mwimbaji Yemi Alade anaongezeka kwenye orodha ya wasanii wa Kike ambao wanakitupia lawama kiwanda cha muziki pamoja na biashara nzima.

Kwenye ukurasa wake wa twitter, Yemi Alade ameandika "Biashara ya muziki ni ngumu sana, hakuna mtu anayetaka kukufurahia hadi unapoanza kupata mafanikio. Ninaomba tutieni nguvu, sio rahisi." ameandika Yemi Alade ambaye ni miongoni mwa waimbaji nyota wa Kike barani Afrika.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments