11/05/2020

Yoweri Museveni: Uchaguzi wa mwaka 2015 nilishtuka kidogo Ila wa 2020 niliposikia jimbo la Hai limerudi CCM nikasema basi“Najua mwelekeo wa CCM kisiasa, hivi vyama vingine sijui mwelekeo, watu wengine wanafikiri ni jambo rahisi, Afrika kufaulu lazima tukumbuke hilo neno ‘mwelekeo’, napongeza Watanzania miezi michache nyuma ilitangazwa kwamba Tanzania imeingia kwenye Uchumi wa Kati nawapongeza kwa sababu mmetuwahi

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

1 comment:

 1. Mzee Museveni, Asante kwa Hekima zako.
  Karibu nyumbani. Watanzania tunakupenda

  Karibu Dodoma, Chipanga tutakupa Ardhi
  ya Ufugaji leta ngombe zako kiasi na
  mimi najitolea uchungaji bila malipo.!

  Karibuni jijini Dodoma.

  ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger