Zitto Kabwe, Hala Mdee Watakiwa Kujisalimisha Polisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam, limetangaza kuwasaka wanasiasa Halima Mdee na Zitto Kabwe, huku likiwataka wajisalimishe ili wajibu tuhuma zinazowakabili.


Taarifa iliyotolewa leo Jumanne Novemba 3 na Kamanda wa kanda hiyo, Lazaro Mambosasa imeeleza wanaendelea na opareshini ya kuwakamata watu wanaofanya mipango kuhamasisha maandamano nchini.


Mambosasa ameeleza kuwa hadi sasa jeshi hilo linawashikilia watu 14 wakiwemo viongozi wa Chadema ambao ni Freeman Mbowe, Godbless Leman a Boniface Jacob.


Kamanda huyo ameeleza kuwa hali ya jiji la Dar es Salaam imeendelea kuwa shwari, huku akiwataka wanasiasa kuacha kufanya fujo na badala yake kufuate sheria.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bado yupo Saruni, anajipodoa.

    ila taarifa tumempa..sasa mchecheto.

    ReplyDelete

Top Post Ad