Ajali ya Basi la Frester Yaua Mtoto Kahama 

MTOTO mmoja amefariki dunia na wengine kujeruhiwa kufuatia basi la Kampuni ya Frester lenye namba za usajili T 965 DFT lililokuwa linatokea Kahama kuelekea Musoma kuacha njia na kupinduka katika eneo la Phantom, Kahama mkoani Shinyanga baada ya dereva wa basi hilo kutaka kulikwepa gari dogo leo Alhamisi, Desemba 17, 2020.Tayari Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Anamlingi Macha, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo nmuda mfupi baada ya kuanza safari. Endelea kufuatilia taarifa zetu.

 

By Edwin Lindege | Global Publishers

 

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments