Alberto Msando Afunguka Sakata la AY na MwanaFA na TIGO Baada ya Mahakama Kutengua Uamuzi

 


Wakili Albert Msando @albertomsando ametoa ufafanuzi juu ya taarifa zilitoka leo kwenye gazeti la MWANANCHI kwamba Mahakama Kuu Dar Es Salaam imetengua hukumu iliyoamuru kampuni ya Tigo kuwalipa wanamuziki A.Y na Mwana FA.


Msando ameacha comment kupitia ukurasa wa Mwananchi hapa instagram. Rudi stori iliyopita kuelewa zaidi.That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments