Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, Hamis Tale Tale "Babu Tale" amezungumiza sababu ya Naibu Waziri wizara ya Madini, Francis Ndulane kupata kigugumizi wakati akiapa mbele ya Rais.
"Kile ni kitete tu huwa kinatokea wala msimbeze, Rais wetu ukimtazama lazima tu utamwogopa"
Amesema @babutale
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
0 Comments