Babu Tale, Mbunge wa CCM na Meneja wa Diamond Platnumz asema Amedekezwa Hata Hawezi Kufua Nguo za Ndani


Mbunge CCM ambae pia ni meneja wa Diamond Platnumz Babu Tale, amedai kuwa mke wake ambae kwa sasa ni marehemu alikuwa akimdekeza sana kiasi hajui kufua under wear wala kupika chai, amekiri kuwa yeye huwa anavaa Underwear lakini huwa akishavaa anazificha , Msikilize Hapa chini:That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments