Ben Pol na Mkewe Anerlisa, Wavunja Tetesi za Kuvunjika kwa ndoa yao

 


Kufuatia kuwepo kwa sintofahamu juu ya NDOA ya msanii

Ben Pol na mkewe Anerlisa, hatimaye wawili hao wazima tetesi za kuvunjika kwa NDOA yao!

Hii ni baada ya Wanandoa hao, Ben Pol & Anerlisa kuhudhuria birthday party ya mtoto wa Monalisa, Sonia (18) mwishoni mwa wikiendi hii wakiwa pamoja huku wakionesha kuwa ni watu wenye furaha.


Kwenye part hiyo fupi iliyokuwa ya kifamilia, familia ya msanii @iambenpol ilikuwa miongoni mwa waalikwa.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments