Biden “Wamarekani hawatalazimishwa kupata chanjo corona”Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden amesema Chanjo itakapopatikana, raia wa Marekani hawatalazimishwa kuitumia. Amesema, atafanya kila analoweza kama Rais kuhimiza wananchi kuchukua maamuzi sahihi
Kauli yake inakuja baada ya Kituo cha Kudhibiti Magonjwa (CDC) kushauri watu kuvaa barakoa hata wanapokuwa maeneo ya wazi, isipokuwa wakiwa nyumbani

Biden ambaye ataapishwa kuwa Rais mwakani pia amesema anatarajia hafla ya uapishwaji haitohusisha kundi kubwa la watu kutokana na mlipuko wa Corona Virus.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments