Msanii wa Bongoflava Amber Lulu amejitokeza na Kumchana ukweli Uchebe aache kutafuta Kiki baada ya kupost picha akiwa na Amber lulu na kuandika mama Kijacho , Amber lulu amemwambia aache kutafuta kiki , "Mama Kijacho hiyo mimba umenipa wewe"
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
0 Comments