Bilionea wa Urusi Afariki Akiwa Mapumzikoni Zanzibar
Igor Sosin amefariki #Zanzibar akiwa na Binti yake, Taisia pamoja na Mwanamke ambae hajafahamika

Chanzo cha kifo chake bado hakijabainishwa ila miezi kadhaa iliyopita aliugua #COVID19


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments