Chanjo ya Kwanza ya Corona Marekani Yatolewa Kwa Mwanamke Huyu Mweusi


Chanjo ya kwanza ya COVID-19 mjini New York imetolewa leo Jumatatu, na mpokeaji wa kwanza ni mwanamke mweusi aitwaye Sandra Lindsay anayefanya kazi ya Uuguzi katika kituo cha Afya kilichopo Queens New York.


Kabla ya kupewa Chanjo hiyo, Sandra alipongezwa kwa kutaka kitendo hicho kiwe hadharani. Taifa la Marekani limetangaza kupatikana kwa chanjo ya COVID-19 na itaanza kutolewa kwa wananchi hivi karibuni.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments