Darasa ameachia orodha ya nyimbo zinazopatika kwenye Album yake anayoizindua leo

 Mwanamuziki Darasa  ameachia orodha ya nyimbo zinazopatika kwenye Album yake ya inayoitwa "Slave Becomes a King" anayoizindua rasmi Leo Disemba 24, 2020. Album hii ina jumla ya nyimbo 21. na amewashirikisha wasanii mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi katika baadhi ya ngoma. 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments