Duma Actor awapa sharti Alikiba na Harmonize

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Ni 'headlines' za msanii wa filamu Duma Actor ambaye ameingia rasmi kwenye muziki baada ya kutoa wimbo wake wa kwanza ambapo amesema kama lebo ya Kings Music ya Alikiba au Konde Gang ya Harmonize wanataka kumsaini kwenye lebo zao basi waandae mzigo wa kutosha.

 

Akizungumza hayo kwenye kipindi cha PlanetBongo Duma Actor amesema kuwa "Huu ni wimbo wangu ya kwanza ila nishafanya kazi ya muziki zamani kabla ya kuingia kwenye filamu, hata wanamuziki nao wanatamani kuingia kwenye uigizaji kama Q Chief na Mr Blue tayari wameshafanya hivyo"


"Ujue mimi ni mchaga naangalia pesa kwanza, kama Alikiba na Kings Music yake au Harmonize na Konde Gang wanataka kunisaini kwenye lebo zao nitaangalia wapi ambapo kuna mzigo zaidi ndiyo nitaenda" amesema Duma Actor 


Duma Actor anafuata nyayo za Hamisa Mobetto ambaye na yeye aliwahi kuwa msanii wa filamu, video vixen kisha kuingia kwenye muziki.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad