Gigy Money "Jamani Tuchangeni Buku Buku Tuwatoe Jela Kina Amber Ruty"

 


"Nimem-miss Amber Rutty hivi ndiyo atolewi tena, miaka mitano jamani tuchangeni Instagram tucheke tukichanga bukubuku tunamtoa Amber Rutty atakuwa ameshajifunza jamani, tuchangeni tuwatoe wale" amesema Gigy


Siku ya Ijumaa Septemba 25, 2020 Amber Rutty pamoja na mumewe Saidi Bakary walihukumiwa kifungo cha miaka 5 gerezani kwa makosa manne ikiwemo kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments