Google Yapata Shambulio la MtandaoKwa mujibu wa Mtandao wa TechCrunch, huduma mbalimbali zinazotolewa na #Google zikiwemo Gmail, Google Drive na #YouTube zilisumbua kwa baadhi ya nchi

Baadhi ya mataifa yaliyoathirika ni pamoja na Marekani, Canada, India na Afrika Kusini. Shambulio lilidumu kwa dakika 45, hali iliyosababisha baadhi ya huduma kusumbua hadi iliposhughulikiwa

Msemaji wa Kampuni hiyo amekiri tatizo hilo kutokea akisema huduma zote zimerejea. Aidha, Google imesema itafuatilia kilichotokea ili kuhakikisha suala hilo halijirudii siku za mbele

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments