Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Gwajima Azitaka Hospitali Kutozuia Maiti Kisa Madeni

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amezitaka Hospitali nchini kutokuzuia maiti kwa madai ya kuwataka ndugu kulipia gharama za matibabu.

Dkt. Gwajima amesema hayo jana wakati alipotembelea Hospitali ya Mloganzila kuona hali ya huduma inayotolewa Hospitalini hapo pamoja na kuzungumza na Menejimenti.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

1 Comments

 1. Magu, Hongera Baba. Uteuzi wako si wakubahatisha na Vetting
  yako si ya kuchezea.

  Kikubwa zaidi, ni macho yako kuwa kila Mahali na ngazi zote za Utendaji na Kweli kila anaePerform anajulikana na kuonekana.

  Umetuletea Mama Gwajima ni Jembe, tena Jembe kweli kweli na Anaitendea haki Wizara hii na ananyooshaa ajili vichochoro vyote vya Wizara ameshapitana anavijua vyema. Hadanganyiki wala hababaishwi na Wababaishaji na wapiga Dili.

  Afya sasa mjipange. Gwajima amesha waambieni Sitaki unipende
  nataka Kazi. ndiyo ukamuona with a strong meseji hana Hendi begi wala lipu sitiki mama ni Mchapa Kazi hana Upambe kama Alivyo JPM ..UKWELI ANAKUPA CASH CASH.

  MUNGU AKUBARIKINI NA KUWAPA NEEMA ZAKE KATIKA AFYA NA UMURI.

  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)