Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Haitham Kim "Mimi Sio wa Bei Rahisi Naijua Thamani Yangu"


Nyota wa muziki wa kizazi kipya, mwanadada @haithamkim amesema yeye sio msanii wa bei rahisi, hivyo huwa haoni tabu kuachana na dili ambalo anaona halina faida kwake.


#Haitham ambaye alitoka chini ya MJ Records amefunguka hayo katika kipindi cha FNL mwishoni mwa wiki, ambapo ameleza hilo ni kutokana na ukubwa wa chapa (brand) yake.


“Mimi siyo ‘cheap’ siwezi kujishusha kwa kukuza brand, naijua thamani yangu, siyo kwamba nionekane tu kwenye dili nilipwe laki 2 au 3. Unaponiona nimechelewa kwenye dili basi jua wameshindwa gharama yangu na ninaamini kipaji changu” amesema.


Kwa sasa @haithamkim anafanya vizuri na video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "Kokoko" akiwa kamshirikisha Mapanchi BMB.

Tazama Video Mpya kutoka kwa Rosa Ree:

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments